f


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Monday, June 28, 2010

NEWS

GENEVIVA EMMANUEL AWA MISS TEMEKE 2010


Miss temeke Geneviva akiwa amepozi katika picha nawenzake Anna daudi mshindi wa pili na Pendo urassa mshindi wa tatu

EMINEM AVUNJA LEKODI NA ALBAM YAKE MPYA YA (RECOVERY)
Recovery has gone plattinum in the US in less than two weeks selling over one million copies.
The record is at number one on the billboard.


BENJAMINI WA MAMBOJAMBO KUWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE KESHO NDANI YA MWAMBA HOUSE ART IN TANZANIA VALUNTEERS HOUSE BAHARI BEACH KESHO 9/JULY/2010.
Ukali wa benjamini si kwenye production tu' Bali hawapo stejini akiimba ninomaaa kama hujabatika kuona live akiimba basi kesho usikoe kutembelea pande za bahari beach kumshuudia mkali huyo akifanya vitu vyake.





LAGY GAGA WAPO NA MPENZIWAKE HUWA MTULIVU 'SI KAMA AWAPO STEJINI
Msanii nyota wa muziki lady gaga ametamba akisema kwamba uzuri alionao sio sababu ya yeye kumdanganya mpenzi wake kwa mambo ya ajabu ajabu kwa sababu tu yeye ni mzuri na anaweza kupendwa na mwanaume yeyote, Asema kwamba awapo katika mahusiano na mwanaume huwa na msimamo mkali katika mapenzi na si mapenzi ya udanganyifu kama mastaa wengine, Kamwe uzuriwangu auwezi kunipa kiburi kwa nimpendaye.




MWANA DADA JESSICA SIMPSON ANGEISHI BONGO INGEKUWAJE?
Habari nyepesi nyepesi mwana dada jessica aongoza kwa kubadilisha mabwana jamani kama mlikuwa hamjui sasa habari ndiyo hii, Hivi karibuni mwana dada huyu ameonekana akitoka out na mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya marekani anayeitwa Eric Johnson na kabla ya hapo alikuwa akitembea na nyota wa Dallas Cowboy anaeitwa Tony Romo.




MISS TEMEKE KUFANYIKA JUNE,9 TCC CHANG'OMBE
Mtanange wa kumsaka redd's miss temeke unatarajiwa kufanyika tarehe 9 june 2010 katika ukumbi wa tcc chang'ombe, ambapo warembo 12 kuchuana.




WAPENZI WA FACEBOOK SASA TUNAWALETEA FACENEWS TUKUTANE HUKO
Jamani uki log in facebook kumbuka kutafuta FACENEWS mambo yote yapo humo jamani msikose kutembelea.


KUTOKA MZUKA RECORDS ALBUM YA AT YAKAMILIKA KAATAYARI KUIPOKEA
Manamuziki wa bongo fleva AT kumaliza kile kilichokuwa kinamtoa jasho kwa muda mwingi katika kutimiza azima yake yakuwapa mashabiki wake vitu wavipendavyo haswa katika nyanja ya muziki Mungu akubariki kijana umiza kichwa.


UREMBO WA ALICE LUSHIKU WAITIKISA KINONDONI ,AWAPOTEZA WENZAKE AWA MISS KINONDONI 2010
Katika kinyang'anyilo cha kumsaka miss kinondoni 2010 kilichofanyika katika ukumbi wa mlimani city atima Alice Lushiku aibika kidedea kwa kushinda shindano hilo na kuvalishwa taji kuwa miss kinondoni 2010 ongela sana dada ongeza juhudi utuwakilishe miss tanzania.




WAREMBO HAWA WAMEFUNIKA MBAYA SOUTH AFRICA
Wana dada hawa Alicia Keys na Shakira niwashabiki wazuri wa mpira tukiachia mbali kutumbuiza kwao katika ufunguzi wa kombe la dunia kwataarifa tu wanafagiria mpira mwanzo mwisho.






MISS KINONDONI KUPATIKANA LEO USIKU 1/JULY/2010
Washiliki wa miss kinondoni wakiwa katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima zilizopo jengo la bilcanas posta mpya.




BAHATI CHANDO NDIYE MISS ILALA 2010
Katika kinyang'anyilo cha kumsaka miss ilala 2010 mwana dada Bahati Chando ndiye aliyefanikiwa kuvalishwa taji hilo la miss ilala 2010 akifutiwa na Consolata lukosi na mshindi watatu ni Salma Mwakalukwa pambano hilo lilifanyika katika ukumbi wa ubungo plaza uliopo Dar-es-salaam.




MISS LINDI 2010






MICHAEL YOGAYOGA THE GOLDEN BOY

Mwana sarakasi wakimataifa Michael yogayoga anatarajia kuanza ziara yake ya sarakasi baada ya kombe la dunia akianzia na nchi ya Ubeligiji na baada yakumaliza show zake atarejea nchini na atakuwa na ratiba kutembelea mashule mbalimbali nchini pamoja na vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima ilikujua nijinsi gani ataweza kuinua vipaji vyao.